EMICEMICEMIC
+255 627 968 285
info@emic.ac.tz
P. Box 516 Ifakara, Morogoro

Jaza fomu za Kujiunga na Chuo

Mkuu wa Chuo cha Edgar Maranta, Ifakara anawatangazia nafasi za kujiunga na chuo kwa mwaka wa masomo 2026/2027 kwa kozi zifuatazo:

Chuo chetu EMIC  kimesajiliwa na NACTVET kwa usajili namba REG/HAS/050N). Tunakupa mazingira tulivu ya kusoma, wakufunzi waliobobea, maabara za kisasa, na hospitali ya mafunzo ya vitendo papo hapo chuoni, bila kusahau mtandao wa internet wa uhakika!

Stashahada ya Utabibu

Course Item: Description
Ngazi ya Kozi NTA Level 6
Mfumo wa Masomo Full Time
Muda wa Masomo Miaka 3 (Semista 6)
Sifa za Kujiunga Wahitimu wenye Cheti cha Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) wenye ufaulu (passes) katika masomo manne (4) yasiyo ya kidini, ikijumuisha Kemia (Chemistry), Biolojia (Biology), na Fizikia/Sayansi ya Uhandisi (Physics/Engineering Sciences). Ufaulu katika somo la Hisababti (Basic Mathematics) na Lugha ya Kiingereza unaongeza sifa ya ziada.
Ada ya Kozi Local Fee:
Maombi Maombi yote yanafanyika kwa "NJIA YA MTANDAO (ONLINE)". Bofya Hapa Kujaza Fomu.

Stashahada ya Radiolojia

Course Item: Description
Ngazi ya Kozi NTA Level 6
Mfumo wa Masomo Full Time
Muda wa Masomo Miaka 3 (Semista 6)
Sifa za Kujiunga Wahitimu wenye Cheti cha Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) wenye ufaulu (passes) daraja la 'D' katika masomo ya Kemia, Biolojia, Fizikia, Hisabati(Basic Mathematics) na Lugha ya Kiingereza (English)
Ada ya Kozi Local Fee:
Maombi Maombi yote yanafanyika kwa "NJIA YA MTANDAO (ONLINE)". Bofya Hapa Kujaza Fomu.

Stashahada ya Uuguzi na Ukunga

Course Item: Description
Ngazi ya Kozi NTA Level 6
Mfumo wa Masomo Full Time
Muda wa Masomo Miaka 3 (Semista 6)
Sifa za Kujiunga Wahitimu wa Kidato cha Nne (CSEE) wenye ufaulu wa masomo manne (4) katika masomo yasiyo ya kidini, yakiwemo Kemia, Biolojia, na Fizikia au Sayansi ya Uhandisi. Kuwa na ufaulu wa Hisabati (Basic Mathematics) na Kiingereza (English) zinaongeza sifa za ziada.
Ada ya Kozi Local Fee:
Maombi Maombi yote yanafanyika kwa "NJIA YA MTANDAO (ONLINE)". Bofya Hapa Kujaza Fomu.

Diploma ya Maendeleo ya Jamii

Course Item: Description
Ngazi ya Kozi NTA Level 6
Mfumo wa Masomo Full Time
Muda wa Masomo Miaka 3 (Semista 6)
Sifa za Kujiunga Wahitimu wenye Cheti cha Astashahada ya Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, au Kazi za Vijana; AU Cheti cha Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) wenye angalau ufaulu mkuu mmoja na ufaulu mdogo mmoja katika masomo makuu.
Ada ya Kozi Local Fee:
Maombi Maombi yote yanafanyika kwa "NJIA YA MTANDAO (ONLINE)". Bofya Hapa Kujaza Fomu.

📢  Karibu EMIC! Fomu zinapatikana moja kwa moja chuoni kwetu, kwa maelekezo zaidi au msaada wa haraka, piga simu namba +255 6279 68 285 / +255 782 296 082 au tuandikie barua pepe info@emic.ac.tz. Timu yetu ipo tayari kukuhudumia!

Mwisho wa Kupokea Maombi

10 July, 2026

SCAN TO START YOUR APPLICATION
Previous Post
Newer Post