Admissions Open for 2026/2027
Mkuu wa Chuo cha Edgar Maranta, Ifakara anawatangazia nafasi za kujiunga na chuo kwa mwaka wa masomo 2026/2027 kwa kozi zifuatazo: Stashahada ya Utabibu Stashahada ya Radiolojia Stashahada ya Uuguzi na Ukunga Stashahada ya Maendeleo ya Jamii Chuo chetu EMICĀ kimesajiliwa na NACTVET kwa usajili namba REG/HAS/050N). Tunakupa mazingira tulivu ya kusoma, wakufunzi waliobobea, maabara […]

